29 June, 2015

HIKI NDO KINACHOMPA WASIWASI BEYONCE KUPATA MTOTO WA PILI NA MUMEWE JAY-Z


Diva wa muziki wa Pop, Beyonce Knowles.
New York, Marekani
DIVA wa muziki wa Pop, Beyonce Knowles huenda akashika mimba hivi karibuni baada ya kuweka wazi kuwa yupo mbioni kupata mtoto wa pili na mumewe ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop, Shawn Carter ‘Jay-Z’.
Kwa mujibu wa Jarida la In Touch linaweka wazi kuwa Beyonce (33) ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Blue Ivy (3), kwa miezi kadhaa yupo katika kutafuta mtoto mwingine lakini anachohofia ni malezi juu ya mtoto huyo ajaye.
“Kwa miezi miwili sasa anamtafuta mwanamke sahihi wa kuweza kumlea mtoto wake ajaye. Tayari wapo katika hatua za mwanzo na mumewe za kutafuta mtoto,” liliandika jarida hilo.A

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...