Ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi
anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki
zake kama anavyodai.
Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa Mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote
za mkoa wa Mara. Alipofika Tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na
kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema
Mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa
huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya
gari.
Lakini kwa hapa Musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja
alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze
kufanya mapokezi.
No comments:
Post a Comment