11 June, 2015

MH. GODBLESS LEMA APATA AJALI!









Mbunge wa Arusha mjini, Mhe.Godbles Lema amepata ajali ya gari alasiri JANA.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Burka, karibu na Uwanja wa ndege wa Arusha.
Alikuwa akielekea bungeni-Dodoma.
Gari lake-Land Cruiser limegongana na Suzuki.
Magari yote mawili yameumia vibaya, hasa Suzuki, kiasi cha kutoamini kama kuna mtu katoka salama.
Hata hivyo Mungu ni mkubwa, Mbunge, Dereva wake na watu wengine wako salama.
Ameahirisha safari, amerejea mjini kwa taratibu nyingine, ikiwa ni pamoja na kucheki afya hospitali.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...