11 June, 2015

ROSE NDAUKA ACHAFUKWA... ONA ALICHO POST!


Rose Ndauka Amefunguka Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:
  • Nyie mliozoea kila siku kugombana msidhan kila mtu ana silka hiyo nimelelewa nikaleleka sasa msitake kuwajua watu undan wao kila siku unatafuta nani ugombane nae wengine mna nuksi,sasa basi wew unajifanya umewekewa pilipil kila saa unawashwa kutafuta wa kugombana nae bonyeza ikufungukie msione watu wametulia mkadhan ni maboya hatupendagi tu kuongea sana mnaacha kuwaza maisha yenu na kujali familia zenu kila siku new bifu......sasa hapa umepotea njia hili ni onyo la mwisho....siishi maisha ya insta na kinachofata ntakuanika live mtu mzima ovyooooooooooo na NTAKUFURAHISHAAAAA 
  • By Rose Ndauka

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...