Joshua Nassari Anasema=>Nimepigiwa Simu nyingi sana na waliokuwa wanaCCM Arumeru. Wanataka mikutano na ili wakabidhi Kadi na kujiunga Rasmi na sisi. Nimeulekeza Uongozi wangu wa Wilaya kufanya uratibu(coordination) Tunakuja kuzichukua, na wiki ijayo tutamalizia ziara kwenye vijiji vya kata 4 kati ya 26 zilizobaki. Kwa kuwa Tumechagua kuishinda hofu, na kwa kuwa tumeamua kutoa Maisha yetu sadaka kwa ajili ya taifa na jimbo letu , TUTAENDELEA KWA CHOPPER.
Hatutokufa, Bali Tutaishi. Na kusudi la Mungu lazima litimie.
Vilevile ninajiandaa kwenda kutoa sadaka ya kumshukuru Mungu, nitawajuza tarehe ndg zangu.-
No comments:
Post a Comment