- Joseph Colman Mokunda Kwani yeye ndio nani mpaka aseme hivyo eti hakuna Rais atakae toka kazikasini tako la panya
- Philemon Christopher Hana lakusema huyo,muda wao umeisha
- Calister Lawrence Kweli wafa maji siku zote hawaishi kutapatapa............mwaka huu ccm chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,chezea UKAWA weweeeeeeeeeeeeee
- Ray Roja · 16 mutual friends
Sawa hotoki kaziskazin anataka atoke wap bagamoyo au alikuwa anaota anajua kachaguliwa yeye kugombea urais - Msafiri Nangale Makula Sijakuelewa vizuri inamaana hii tanzania niyakwenu jamani! mm nadhani muwaachie wapiga kura wenyewe wataamua kama ni kaskazini au mashariki, kingine utufafalie kwani wewe ni nani haswa mpaka useme hivyo?
- Omary Mussa Huyu mtoto ni bwege sana yeye anadhan urais ni kilimo cha Mananas eehh kwamba ni lazma yapatikane bagamoyo sio !!!! Kengeeeeeeeee kabisa
- Paschal Wa Brain Watu wafupi ata uwezo wao wa kufikiri huwa ni mfupi sana! Ridhiwan anasumbuliwa na Umbilikimo tu
- Djfredy Herbet Pole Huu ni uchochezi wa ubaguzi na ukabila na kwa kuwa ila sheria ya mtandao ilishapita nadhani wangeanza na yeye ili tujue kuwa sheria ni msumeno maana ni dhahiri ni uchochezi na ubaguzi wa ukabila.
- Eng Daniel Mwanaharakati Harisi Sina uhakika kama ajielewa huyoo
- Aang Vuitton Udinovv YAHHHH NYERERE PIA ALISEMA COZ WATAUZA INCHI ILA MWAKA HUUU ATAPATIKANATUUUUUUU
- Rajabu S Kinande · 6 mutual friends
Upuuzi huu Ridhwan alishaukanusha. Mboni hamzumgumzi Edo alipowaambia Wahariri wa vyombo vya habari hawezi kutoka CCM? - Adam Bura MAGUFULI ANATOKA KUSINI?
- Nourdin Kazumari fake account hyo...mwenyewe alikanusha zamani tu.
- Chris Mollel PIMBI
- Saidi Likweti Angalieni je huyu ni rizi kweli?
- G'love Mhz Mwanza ipo wapi?
- Omary Borry acheni propaganda hizi za uongo na uchochezi, hebu tuangalieni mambo ya maendeleo ya nchi yetu.
- Andrew Joseph Mh mfumo dume sasa baibai akajichagulie rais wa familia yake watanzania tumejanjaruka atajibeba
- Josephat C. Muhoza Msemo wako ni zaidi ya siasa, you are playing god, and that is an abomination. Wewe useme rais hawezi kutoka kaskazini, au popote nchini, wewe nani?!
- Geofrey Kasambala · Friends with Djfredy Herbet Pole
Nilikuona siku mzee anachaguliwa kwa Mara ya kwanza pale dodoma machozi yalikutoka kumbe yalikuwa machozi ya kutuziaki Watanzania. Poa dogo endelea. - Abo'g A Plus B Josephine Joseph huwa nakuona una post story like journalist...!!! Acha kudaganya watu wakati hujui official acount ya jamaaa....
Afu we mwanamke unayoyachochea utaweza kukimbia siku yakiwaka au ndo umekosa habar za kuweka?...See More - Thomson Blac · Friends with Eddy Njakani and 1 other
kwa sabab nchi ya baba yako- unaongea kama mdada eb kula winger - Josephine Joseph Abo'g A Plus B una uhakika gani kama si yeye anatumia akaunti zaidi ya moja? Hata mimi naweza kuwa na akaunti zaidi ya moja, nikakana vitu vinavyo postiwa kwenye akaunti husika.... Siasa ni zaidi ya uijuavyo mdogo wangu. Bora utulie tu
- Mwasy Kerenge Nyerere alishataja hayo makabila yanaubaguzi na amchelewi kuuza nchi Kama mlivyowapa wakenya mlima kilimanjaro
- Josephine Joseph we Mwasy wewe... subiri nije Tanga uniambie hayo maneno vizuri
- Mwasy Kerenge Nisamehe jamani maana nyie ndio mmenioa saivi naitwa mrs kutokana na kanda hiyohiyo But mmmmh hamfaikupewa nchi kwakweliii haaahaaa mtatuuzaa
- Josephine Joseph Sasa kama tumekuoa kwanini unatu diss? Na huo utukunyema uupunguze... gym inakuhusu Mrs Mchaga
Hatib Kombo · Friends with Ken Mkuchu and 3 others
Mtapasuana
bureee si kila mtu kujiandkisha?na anajua atampigia nani?sasa basi
waacheni wanasiasa wajinadi hiyo ndio kazi yao,kazi yenu ni kupiga
kura,msubiri mkapige,humu kuweni na amani,ccm na ukawa wote ni
watanzania,umoja amani na upendo iwe ndio silaha,uchaguzi utapita tu.
Like · Reply · 3 hrs
Join me on Instagram! - I'm on Instagram as @jojothefighter. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=381300177
Join me on Instagram! - I'm on Instagram as @jojothefighter. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=381300177


























No comments:
Post a Comment