
MKULIMA huyu maskini wa kutupwa alilima kwa bidii akajinyima ilimradi tu amsomeshe mwanaye. Na hii ilikuwa siku ya Graduation, hakutaka kuubadili mwonekano wake ili liwe funzo kwa wengine.
Mtoto wake alipopewa nafasi ya kuzungumza alisema maneno machache tu.. “BABA NDIYE DENI LANGU KUBWA KUPITA YOTE NINALODAIWA ULIMWENGUNI”
No comments:
Post a Comment