-Watu waliohojiwa ni 1,848.
- Idadi ya wapiga kura mil.24
- Wastani 1:14,000
-Yani mtu mmoja anawakilisha maoni ya wapiga kura 14,000.
KASORO: Twaweza wameonesha hawapo serious. Huwezi kutumia sample size ya watu elfu moja kuwakilisha maoni ya watu milioni 24.
WAGOMBEA WANAVYOKUBALIKA;
-Magufuli 65%
-Lowassa 25%
-Wagombea wengine 05%
-Ambao hawajaamua 07%
-JUMLA 102%.
KASORO: Asilimia za utafiti zimezidi 100.! Fabricated data.
WWAGOMBEA WANAVYOUNGWA MKONO NA MAKUNDI YA WATU;
-Lowassa - Vijana
- Magufuli - wazee
- Wagombea wengine -Vijana &wazee
- Lowassa - Wasomi
- Magufuli - Wasiosoma.
- Wengine - wasomi &wasiosoma
KASORO: Twaweza wanatuambia moja ya njia zilizotumika kuwafikia wapiga kura ni simu. Sasa jiulize kati ya vijana na wazee kundi lipi linamiliki simu zaidi. Na kati ya wasomi na wasiosoma nani anafanya mawasiliano ya simu zaidi?
Twaweza wanatuambia kwamba wazee wako "active" kwenye simu na mitandao ya kijamii kuliko vijana. Na wasiosoma wanatumia simu zaidi kuliko waliosoma. Halafu wazee nchi hii ni Wengi kuliko vijana?? Hiki ni kichekesho.
Nadiriki kusema huu ni utafiti wa "hovyo" zaidi kuwahi kufanyika nchini. Mtu yeyote mwenye akili timamu ataupuuza.
Rafiki yangu Yericko Nyerere alikuwa na matokeo ya Utafiti huu tangu miezi miwili iliyopita. So haushangazi. Non sense Research. Maandalizi ya "goli la mkono" hayafanywi kipuuzi namna hii.!

No comments:
Post a Comment