KWA HISANI YA Malisa Godlisten
Tanzania ina ukubwa wa eneo la ardhi (total land
area) mita za mraba milioni 364,915. Kenya ina
ukubwa wa mita za mraba milioni 224,962,
Uganda mita za mraba milioni 91,136, Rwanda
mita za mraba milioni 10,169 na Burundi mita za
mraba 10,745.
Tanzania peke yake ni kubwa kuliko nchi zote za
Afrika Mashariki. Nchi za Kenya, Uganda,
Rwanda na Burundi zikijikusanya kwa pamoja
zinakuwa na jumla ya eneo la mita za mraba
milioni 337,012. Wakati Tanzania peke yake ina
mita za mraba milioni 364,915.
Kwa hiyo ukiigawa Tanzania utapata nchi 4
zenye ukubwa sawa na Kenya, Uganda, Rwanda
na Burundi na litabaki eneo lenye ukubwa wa
kilomita za mraba milioni 27,903 ambalo
linaweza kutengeneza nchi nyingine yenye
ukubwa sawa na Togo.
Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba
Tanzania ni sawa na nchi tano. Yani Tanzania ni
nchi moja yenye nchi tano ndani yake.
Hivyo basi Rais anayeweza kuongoza taifa hili na
kuleta maendeleo lazima awe Rais mmoja lakini
mwenye akili za Marais watano. Yani awazidi
akili mara tano akina Kenyatta, Museveni,
Nkurunzinza na Kagame.
Marais wote wa Afrika Mashariki wanapaswa
wakija Tanzania wajione ni kama wakuu wa
mikoa. Na ili wajione hivyo lazima kuwe na hatua
kubwa za kimaendeleo kuliko kwao.
Yani Kagame akija hapa akikuta treni za umeme
(kwake hana), akikuta Hospitali za kisasa watu
wanatoka Asia kuja kutibiwa hapa (kwake
hakuna), akikuta Barabara za juu ktk miji
mikubwa (fly overs), akikuta maslahi mazuri kwa
watumishi, akikuta umeme wa uhakika na
tunalipa TZS 3000 kwa mwezi, akikuta elimu ni
bure kuanzia Shule ya msingi hadi chuo kikuu,
lazima ajione Mkuu wa mkoa.
Lakini kama Kagame kwake ana fly overs (sisi
hatuna), wanafunzi wa Rwanda wana loptop
kuanzia shule ya msingi (sisi hatuna), Elimu ya
sekondari bure (sisi tumeshindwa), halafu
akituangalia tuna Bandari, madini, gesi, mlima
K.njaro, Mbuga za wanyama etc lazima amuone
Rais wetu kama "Diwani".
Jiulize Tanzania yenye rasilimali lukuki ndiyo
inayoongoza kwa kukata kodi kubwa (PAYE) kwa
watumishi wake kuliko nchi zote za Afrika
Mashariki. Serikali kila mwisho wa mwezi
inajikusanyia 18% ya mishahara ya watumishi
kana kwamba haina chanzo kingine cha mapato
zaidi ya kunyonya watumishi.
Rwanda isiyo na rasilimali nyingi kama sisi,
watumishi wanalipa 6% kama kodi kwenye
mishahara yao.
Yani mtumishi anayelipwa TZS 700,000/= nchini
Tanzania anakatwa TZS 108,000/= kama kodi.
Wakati mtumishi anayelipwa mshahara kama huo
nchini Rwanda anakatwa TZS 36,000/= tu kama
kodi.
Rwanda ambayo haina gesi, haina bandari, haina
madini inawajali watumishi wake. Tanzania
yenye gesi, mlima, madini, bandari haitaki kutoza
kodi huko kote badala yake inamnyonya mtumishi
kama vile serikali haina chanzo kingine cha
mapato zaidi kodi za watumishi.
Hivi "logic" ya kumtoza mtumishi 18% ya kodi ni
ipi wakati kuna vyanzo vingi sana vya mapato
nchini? Unatoa msamaha wa kodi kwa
wawekezaji wa madini, na wachimbaji wa gesi,
halafu unakazana kumnyonya mtumishi. Hii ni
kukosa akili.
Mwaka huu Tanzania imepoteza jumla ya TZS
4.7 Trilioni kutokana na misamaha ya kodi. Yani
karibu robo ya bajeti. Makadirio ya gharama za
kusomesha watoto wetu kuanzia shule ya msingi
hadi chuo kikuu kwa mwaka ni TZS 1.6 Trilioni
(kwa mujibu wa Mbatia).
Maana yake ni kwamba tukipunguza misamaha
ya kodi kwa mwaka mmoja tu, tunapata hela za
kutosha kusomesha wanafunzi wote wa shule za
msingi hadi chuo kikuu kwa miaka miwili. Lakini
serikali ya CCM haiwezi kuliona hili kwa sababu
ya akili ndogo.
Mtumishi yoyote anayeiunga mkono CCM yafaa
akapimwe akili. Imagine wewe ni mwalimu
unalipwa 700,000/=. Kodi tu ni 108,000/=,
Pensheni 70,000/= (10%), UWT 21,000/= (03%),
mwisho wa siku unapokea 498,000/=. Serikali ya
CCM inakunyonya bila huruma na wewe
unakenua meno kusema "ccm mbele kwa
mbele".
Bado hujalipa kodi ya pango, ulipe maji, umeme,
ada ya wanao shule, nauli, chakula, mavazi, etc.
Hivi kwanini usiwe maskini?? Kwanini usikope
kabla ya tar.05?? Hivi unadhani waalimu
wanapenda kuwa na "vidaftari" vya mkopo
kwenye maduka ya kina mangi? Serikali ya CCM
ndio inawalazimisha kudhalilika.
Sasa mwaka huu iwe mwisho. Uwezo wa kufanya
mabadiliko uko mikononi mwako. Mchague
Lowassa kuwa Rais wako uone mabadiliko. CCM
imetutesa miaka 50 sasa yatosha. Let them rest
in peace.
Magufuli hana uwezo wowote wa kufanya
mabadiliko yoyote ndani ya CCM. Haiwezekani
CCM hii iliyowatesa watanzania zaidi ya miaka
50 leo ilete neema kwa sababu ya Magufuli.
Hakuna "theory" yoyote ya kisayansi duniani
inayoweza kudhibitisha kuwa Gari bovu
lililoshindwa kutembea kwa miaka 50, linaweza
kukimbia speed 120 likipata dereva mpya.
SAY NO TO CCM. Tunataka Rais mwenye akili za
marais watano, ili marais wengine wa Afrika
Mashariki wakimuona wamuogope na
wamheshimu kwa kasi ya maendeleo
atakayotuletea. Na Rais huyo ni Edward Ngoyai
Lowassa peke yake. CCM Imechoka, tuitoe.!
HAPO CHINI NI MAONI YA WASOMAJI

- Neema Khatibu Mongi Josephine Joseph ilete kuleee
- Paschal Wa Brain Kama Tz ni sawa na Nchi 5 bas inabid tuongozwe na ma Senetors(i.e. The Cash Dons)
Yan kigezo cha kwanza kwa mgombea Urais Tanzania iwe ni LAZIMA AWEZE KUWALISHA WATANZANIA WALAU MWAKA MZIMA...hapo ndo tutatoboa - Paschal Wa Brain Mwandu Star apa niko na Ney Mo
- Walter Ndjibu Wow so smart josephine.
- Walter Ndjibu Unajua mtu mwenye kupinga jambo ili awe mpinzani wa kweli lazima afahamu anapinga nini huyu atakuwa mpinzani wa kweli . Nasikia watu wanasema mbona lowassa naye alikuwa ccm mpinzani wa kweli ktk nchi iliyotawaliwa kwa muda mrefu na chama kimoja lazima ...See More
Walter Ndjibu Ok Josephine Joseph
umeshasema na kutufundisha ukubwa wa tanzania dhidi ya nchi za afrika
mashariki ikiwemo rwanda usisahau kuwa ukubwa wa nchi ndioukubwa wa
mahitai kwa hiyo ni jambo ka kawaida tanzania kutoza kodi kubwa kuliko
rwanda wanyarwanda ni kwenye milioni 10 sasa chini sana ya watanzania
sasa unategemea rwanda serikali iwe inatoza kodi zaidi ya tz, no suali
ni kujua kama 18% inaazidi au la na inatumikaje
No comments:
Post a Comment