Hakuna Tena Posho Za Vikao Wala Viburudishaji
SERIKALI
kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais imesema
haitagharamia gharama zozote za kuendesha vikao kazi na watendaji wake
kuanzia sasa, badala yake vikao hivyo vitaendeshwa kwa kutumia
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHEMA).
No comments:
Post a Comment