Mwanasheria Mkuu wa wa chama hicho
ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe.
Tundu Antipas Lissu amesema hakuna mtu kutoka Chadema anayetaka
kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na polisi kwa
sababu mahabusu sio pazuri.
“Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo
katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali.
Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo
yake” Amesema Tundu Lissu.
No comments:
Post a Comment