Msanii wa Muziki kutoka Tanzania, Harmonize ambaye kwasasa yupo USA ameweka wazi kuwa ataanya paledi (Maandamano) kuanzia Airport mpaka konde Village,
"Tangu
muziki wetu au niseme SANAA yetu ianze, SIKUMBUKI lini mara ya mwisho msanii
kutoka Tanzania kulipatia hili Taifa la mama samia tuzo Tatu (3) za kimataifa
ndani ya usiku mmoilja.! Moja au mbili, Nakumbuka ila Tatu sina kumbukumbu
kwahiyo paledi litaanzia airport mpaka KONDE VILLAGE alafu tunakesha mpaka
asubuhi, soon nawarudia na Tarehe pamoja na saa ninayotua ...! KONDE GANG MUDA
WENU WA KUTAMBA.." ameandika Harmonize
No comments:
Post a Comment