20 February, 2011

DAR SI SALAMA; MUNGU INUSURU TANZANIA

Wakazi wa Dar es Salaam, wanaugulia maumivu mapya ya janga la milipuko ya mabomu huko Gongo la Mboto; hali hatarishi, woga, wasiwasi ukiwa umetanda miongoni mwao na kila kona ya jiji na nchi kwa ujumla kujadili kuhusu uharibifu na athari zilizojitokeza kwasababu ya mabomu!! Hembu tizama watoto hawa walivyokosa matumaini ya kuwapata wazazi wao. Mungu inusuru Tanzania.

Jana tar 19/02/2011; nami nilikua miongoni mwa Watanzania wachache waliokwenda kutoa msaada na kutoa pole kwa wahanga wa mabomu. Viashirio vya hatari kwa Tanzania;

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...