Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
20 February, 2011
TUKIYAJUA HAYA HATUTAISOGELEA ZINAA
Ni kilio cha dunia, wengi wanaangamia imani potofu dhidi ya janga hatari la Ukimwi imewaponza wengi. Yatima waongezeka, watoto wa mitaani waongezeka kwasababu ya UKIMWI. Je, ulishawahi kufikiria thamani ya mwili wako? Ulishawahi kuwaza lolote juu ya madhara yatakayojitokeza kwa kuathirika kwa ugonjwa huu? Wengi wameziba masikio na kujipa moyo kwamba wao ni ngangari! La hasha, laiti ungejua usingethubutu kuisogelea zinaa. Ni ajabu pale unapokutana na watu wanaouza miili yao bila kujali madhara yanayoweza kujitokeza. Ee Mungu tunusuru. Tanzania bila Ukimwi inawezekana???!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...

-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Somebody was working in a hospital as an IT engineer, as the hospital is planning to set up a database of its patients and he knows some ...
No comments:
Post a Comment