10 May, 2011

SERIKALI YANGU

Serikali yangu
 huwa inanifurahisha sana
Mvua ikinyesha tunaambiwa
Tunaoishi mabondeni TUONDOKE.

Juzi mabomu tunaambiwa
Tukimbilie MABONDENI

Sasa hapa ninachokiona
ikitokea siku mvua na mabomu vikitokea kwa pamoja,
tunaweza kushauriwa KUPAA…!!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...