17 May, 2011

UNAZIJUA SIFA ZA MREMBO WA MJINI?

  1. Anatakiwa ajue ku- drive hata kama hana gari


  1. Awe na elimu ya chuo hata kama ni level ya certificate


  1. Awe anajua kuongea English hata kama ni code- switching


  1. Awe anajua kupangilia nguo na viatu hata kama ni za bei rahisi na ajue kujipamba


  1. Asijipendekeze kwa wanaume hata kama anavutia. Ajue kujishuhulisha hata kama hakuna kinachomshughulisha


  1. Ajue habari za ndani na nje hata kama hazimuhusu

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...