BARUA YA BABA YAKE KANUMBA HII HAPA
Baba mzazi wa Kanumba pamoja na kutumiwa usafiri alishindwa kufika kwenye msiba wa Kanumba jana kutokana na sababu mbili kuu ambazo ni kuumwa MALARIA na kuchomwa sindano za masaa pamoja na kukutwa na BP iliyosababisha kizunguzungu.
Baada ya kuona ameshinwa kuja mwenyewe, aliamua kuwatuma ndugu watatu wa Kanumba ambao kweli walionekana msibani Kinondoni.
No comments:
Post a Comment