JoJo The Fighter

Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...

09 May, 2012

HII NDIO PESA ILIYOCHANGWA KWA AJILI YA KUMTIBU SAJUKI



.
Baada ya watanzania kujitolea pesa za kwenda kumtibu India mwigizaji Sajuki, hatimae kiasi kilichochangwa na siku ya safari vyajulikana.
Wastara ambae ni Mke wa Sajuki, amesema imefikia hatua ambayo ni nzuri na wanaweza kuondoka kwenda India japo pesa haijafikia yote.
Pesa iliyokua inatakiwa ni milioni 25 lakini iliyopatikana ni milioni 16 lakini tayari itawawezesha kusafiri kwenda India jumapili au jumatatu ijayo  kwa sababu pesa nyingine bado zinaendelea kukusanywa.
Wataondoka yeye, Sajuki pamoja na kaka wa Sajuki na watakaa India kwa wiki mbili lakini kama kutakua na mabadiliko yeyote atasema.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara alithibitisha kuibiwa zaidi ya laki nane kwenye account ya pesa ya simu yake ya mkononi baada ya wajanja wa teknolojia kuzuia pesa zilizokua zinatumwa na watanzania kwenye simu yake, na walifanikiwa pia kuiba pesa zilizokuwemo kwenye account ya Wastara.
- May 09, 2012
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...

  • SALA ILIYOKUTWA KWENYE KABURI LA YESU MWAKA 1503 AD
    Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
  • MFAHAMU VIZURI MWIGIZAJI JACOB STEVEN (JB) AMETOKA WAPI NA HISTORIA YAKE YOTE KWA UFUPI MPAKA SASA
    Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya maigizo, hakuna shaka kwamba, Ste...
  • NOVENA YA AJABU
                                                                             ...

Search This Blog

  • Home

About JoJoTheFighter

My photo
JoJo
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can work well in a team environment as well and own initiatives. Ability to work well under pressure and adhere to tight deadlines, with more than 9 years of banking experience; where her last employer was NMB Bank PLC. Joined I&M Bank In May 2022 as a Customer Service Officer, In March 2023 was promoted to the Bank's Alternative Channels Department. In August 2023 the department was separated and now serves as Digital Operations Department. She holds a Bachelor of Arts in Mass Communication from Tumaini University (2008-2011) Josephine is a happy wife, being proudly mother of two children. She also deals with other things like MC, film productions as producer and actress. Instagram: https://www.instagram.com/jojothefighter/ Facebook: https://m.facebook.com/p/Josephine-Joseph-JOJO-the-Fighter-100065062689941/?locale=am_ET LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/josephine-joseph-55503847/ Twitter: @jojothefighter Email: jojothefighter@gmail.com Pinterest: https://www.pinterest.com/pin-builder/?description=JoJo+The+Fighter
View my complete profile

MAKTABA YETU

Report Abuse

  • Home
  • ADVERTS
  • TRUE HAPPENED ADVERSITY / MIKASA YA KWELI
  • KIJAMII ZAIDI
  • SINDANO YA MOTO
  • WOMEN'S CORNER
Menu
  • Home
  • ADVERTS
  • KIJAMII ZAIDI
  • WOMEN'S CORNER
  • SINDANO YA MOTO
  • LIKE MY FACEBOOK PAGE
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Connect

  • Dribbble
  • Facebook
  • Google+
  • Linkedin
  • Pinterest
  • RSS
  • Twitter

Recent Posts

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks
Follow @JoJoTheFighter

JOJO THE FIGHTER

Translate

Visitors

CLOCK

TANZANIA

Blog Rafiki

Followers

JoJo The Fighter. Picture Window theme. Powered by Blogger.