Hatimae kile kimuhemuhe cha watanzania kuhisi kuwa wamekosa wawakilishi wa Big brother Africa StarGame kilikwisha baada ya jana kutambulishwa rasmi Julio na Hilda kutuwakilisha ktk jumba hilo maarufu kwelikweli barani Afrika.
Mtu hizi mbili ambao wenyewe wanajiita washkaji wa kike (Hilda) anatokea Morogoro na kazi anayofanya ni Saleswoman.
Kwa upande wa Julio, yeye anatokea Dar es salaam kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano.
Hilda na Julio wanahitaji kura zetu ilikubaki kwenye mjengo wa Big Brother. Tafadhali piga kura kupitia www.africamagic.tv/bigbrother au tuma SMS na jina Hilda au Julio kwenda 15726.
No comments:
Post a Comment