17 May, 2012

PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KWA AJAL

 

 

 

 

 

 

 

 

 

   

Patrick Mafisango Mutesa hatunae tena duniani. Kiungo huyo wa Simba amepata ajali maeneno ya Tazara wakati akijaribu kumkwepa mwenye pikipiki na kwa bahati mbaya gari lake likakosa balance na kuingia mtaroni na hapo ndipo alipopeteza maisha.  

Fahari ya mwanadamu ni ya muda tu hapa duniani,tupendane jamani.Pumzika kwa Amani kiungo wa ukweli Patrick.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...