30 May, 2012

USIOMBE YAKUKUTE

Bila shaka una kila sababu ya kujua nini kinachoendelea hapo
Yote haya yasikie kwa wengine lakini usiombe yakukute!!
UTAJUUUUUTAAAAAA!!

 Kisa kingine hiki hapa! Kwa wale wanaume ambao 
wanajua wanawake zao wana wivu kiasi hiki, huna sababu ya
ku like au ku comment picha za wanawake wengine katika 
mitandao ya kijamii! Vinginevyo 
UTAJUUUUUTAAAAAA!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...