29 May, 2012

Wema Sepetu’s Transformation!


Kadri muda unavyoyoma, tunazidi kuona Wema Sepetu akitokea kitofauti kimuonekano na hata kimavazi. na sasa, katika kile kinachosubiriwa kwa hamu, kuna ujio mpya wa Wema Sepetu uliotangazwa na kampuni ya endless fame management.
Ujio huo umezua gumzo ya aina yake kwenye anga za burudani huku wengi wakijiuliza kitakachojiri na nyota huyo wa filamu nchini.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...