29 May, 2012

YALIYOJIRI LEO KESI YA LULU


Super Star Lulu, aliyekuwa Girlfriend wa Marehemu Super Star, Steve Kanumba, anayeshitakiwa na Jamhuri kwa mauaji yake Steve, hapa leo akiwa Mahakamani Kisutu, ambapo kesi yake ilisikilizwa upya kuhusu umri wake, lakini Mahakam hiyo imekata kuangalia suala hilo kwa kudai kwamba ni suala la Mahakama Kuu, keshi iatatajwa tena; 15/6 / 2012.

1 comment:

  1. Kama wana muacha wamuachetu mtoto wawatu watuwanaua makusudi wanaachiwa itakua huyo kifochabahatimbaya tena hujui labda alikua katika kujitetea Zombe kaua na kaachiwa ditopile aliua tena Live mbelezawatu barabalani akaachiwa mbona selikali yabongo shelia yake ya ubaba ishaji

    ReplyDelete

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...