Taarifa
za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012,
vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege
wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya
shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati
cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya
Kikwete na Abdalah Aman Mohamed
Mnamo
tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania , rais
Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip
Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China , Taarifa muhimu baada ya
salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na
madawa ya KULEVYA,
Kwa
haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini?
Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda
huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.
Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,

Akampigia
simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu
yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza,
kisha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka
nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,
Gari
ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba
watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13
ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa
watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari
ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.
Tarehe
3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China , hakukuwa na
aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta
Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa
hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na
tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais
alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika
nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao
katika moja ya ikulu ya Hong Kong ,
Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.
Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la JK.

Majira
ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika
gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na
Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la
Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo,
Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini. Source ni mimi mwenyewe.
Jason Bourne
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo,
Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini. Source ni mimi mwenyewe.
Jason Bourne
Fredrick S. Moshiro,
Senior Accountant,
Karen General Supply,
P.O. Box 16375,
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel: +255 22 2184132, Fax: +255 22 2183829
Mobile: +255 767 855776/ 715 855776
No comments:
Post a Comment