"Kuna nafasi na kitu kizuri kinakuja kwa waimbaji wa kike.. Hivyo endelea kutembelea page hii kufahamu zaidi.
Inaweza kuwa ndio nafasi yako kutoka na kuwa moja kati ya wanamuziki maarufu wa kike Tanzania" Judith Wambura a.k.a anakonda ameyasema hayo katika page yake ya facebook ya Lady Jaydee

No comments:
Post a Comment