Hawa
ni mabinti wawili ambao walikuwa ni
marafiki wa damu. Urafiki wao uliingia dosari baada
ya mabinti hao kusalitiana na kuchukuliana
wapenzi....
Anayevuja damu usoni ni binti ambaye amechanwa nyembe na Magreth ( rafiki yake ) akimtuhumu kutembea na mpenzi wake.
Tukio hilo liliwakera wanakijiji na kuamua
kungilia kati ugomvi huo kwa kumpiga Magreth na
hatimaye kumvua nguo wakidai kuwa hata
yeye ni kahaba tu maana huyo mwanaume
siyo mume wake bali ni hawala tu .
Chanzo: Uswazi


No comments:
Post a Comment