03 October, 2013

BINTI AMPA KICHAPO MBEBAJI BAADA YA KUMWANGUSHA KWENYE MAJI WAKATI AKIMVUSHA


 Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam
Mbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwi
 Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi


  
 Dada akilia baada ya kuokolewa.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...