Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
03 October, 2013
JOKATE ATOA YAKE YA MOYONI
Mrembo Jokate Mwegelo ambae ni 'Musician', 'Actress' and 'Model' ambae pia aliwahi kuingia kwenye skendo ya 'kutoka' na Diamond; katika ukurasa wake wa face book aliandika wimbo huu ulio onekana kuvuta hisia za fans wake kiasi cha kupata comment na like za kutosha
Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya
nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa
kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2
2. Chemchem ya furaha amani nipe
tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa
Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...

No comments:
Post a Comment