Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
03 October, 2013
MWANAMKE MMOJA AJIFUNGUA MAPACHA WAWILI AKIWEMO CHURA NA BINADAMU
Katika hali isyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la MATILDA ERICK Mkazi wa kijiji cha Magamba wilayani Chunya mkoani Mbeya amejifungua mapacha wawili akiwemo Chura na Binadamu.Mwanamke huyo ambaye amejifungulia kwa mkunga wa Jadi aliyefahamika kwa jina la AGRIPINA SIKANYIKA baada ya kutoroka hospitali amevuta hisia za watu wengi wa maeneo ya jirani na kijiji anachoishi ambao walilazimika kusafiri kwenda kushuhudia tukio hilo.Kwa upande wake Mganga mkuu wa kituo cha afya cha Mbuyuni, Tarafa ya Songwe, wilayani Chunya, mkoani Mbeya MODEST MWANDIKA amethibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kubainisha kuwa alifika katika eneo la tukio na kumkuta Chura akiwa katika mfuko wa uzazi.
Chanzo: Mbeya Yetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...
No comments:
Post a Comment