03 October, 2013

DIVA LOVENESS" MTU AKISEMA MIMI RAFIKI AKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU"'

                                          hehehehe...... wacha weeee.... Diva huyo!

Maneno ya Diva aliyoandika haya hapa:
"Just Saying… maana hawa hawa wanaozunguka wenzao na kujifanya wanajali ndio wanafiki na wambea hatari. nashukuru Mungu sinaga rafiki hata wakumpa siri zangu maana …… na kiukweli mtu akisema mie rafiki yake anajidanganya. mie huwa nachora tu watu hata sometimes nikiwa naongea nao, very selective. na Mpaka dakika hii miaka 4 sasa sinaga so called rafiki kibongobongo. no new friends. i ‘m always into My highschool buddies yaani. so know your Options and make the right choice"

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...