PICHA za chumbani za mwigizaji Rose
Ndauka na mchumba wake, Malick Bandawe zimevuja baada ya rafiki wa karibu
wa wapenzi hao kuzisambaza kitaani.
Wapendanao hao walikuwa wakilala
katika hoteli moja iliyopo maeneo ya Mbezi Beach, jijini Dar kwa ajili ya
kuilea mimba aliyonayo bibie.
“Huwa wanalala kwenye hoteli tangu mimba ilipoanza kuonekana, kusema kweli Malick anamlea Rose kama yai wasiwasi wangu atamlemaza wakati mjamzito anatakiwa afanye mazoezi,” Kilisema chanzo cha habari..
Alipoendewa hewani Malick na kuuulizwa juu ya picha hizo na suala la kuhamisha maskani hotelini hapo kama ni la kudumu au la! Alisema:
“Ni kweli nyumbani tunaenda mara mojamoja kwa sababu nahitaji mchumba wangu asiwe na msongo wowote wa mawazo, anahitaji sehemu ambayo imetulia ili ujauzito nao utulizane, muda mwingi tunautumia hotelini zaidi…

Hiyo ndiyo habari ya mujini…. Ile
promo iliyowahusisha wapenzi hawa kuhusu ndoa sijui imeishia wapi…..!
Haya jamani kila la heri wazazi watarajiwa.... karibuni kwenye chama!
PICHA
za chumbani za mwigizaji Rose Ndauka na mchumba wake, Malick
Bandawe zimevuja baada ya rafiki wa karibu wa wapenzi hao kuzisambaza
kitaani. - See more at:
http://williammalecela.blogspot.com/2013/10/the-majangaz-bongo-picha-za-siri.html?spref=fb#sthash.tGHGdl4C.dpuf

No comments:
Post a Comment