Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
05 October, 2013
MAJANGA MAPYA: AJALI MBAYA MLIMA KITONGA,KAMA UNAMOYO MWEPESI TAFADHALI USIFUNGUE PICHA HIZI
Ajali mbaya nyingine imetokea usiku wa kuamkia leo katika mlima kwa Kitonga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa katika barabara kuu ya Dar es Salaam -Iringa .
Katika ajali hiyo watu wawili wamekufa papo hapo huku wa wawili wakijeruhiwa vibaya baada ya malori mawili kugongana uso kwa uso .
Ajali hiyo imetokea mida ya saa 12.50 ikiwa ni dakika takribani 30 baada ya ajali ya basi la JM kupinduka eneo la Mazome wilaya ya Kilolo.
waliopoteza maisha katika ajali hiyo ambayo chanzo ni dereva wa lori la IT lililokuwa likisafirishwa kwenda nchi za kusini mwa Tanzania aliyekuwa akitaka kulipita gari la mbele mlimani na katika kona kali .
Hata hivyo dereva wa lori hilo IT aliyetambuliwa kwa jina la Gody amevunjika mguu wake ambao umetoka katika na dereva na utingo la fuso wamekupa papo hapo huku mwanamke aliyekuwa katika lori IT akisalimika .
habari zaidi itakujia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...
No comments:
Post a Comment