Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
05 October, 2013
UMBUMBUMBU MWINGINE WA SHILOLE HUU HAPA
Shabiki aki 'nyam nyam' kifuani mwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote
Shilole akiwa hoi baada ya shabiki kuonyesha mautundu hadharani
Jamaa akiendelea kufaidi
Sasa kaamua kum pigia magoti kabisaaa
Sijui niuite ulimbikeni, umbumbu au vipi..... Umetutia aibu wanawake wenzako...
Shilole wewe sio mfano wa kuigwa.... Kwa hilo umechemsha shostito....
Aibu tupu...
We Shilole weeee.....
Kama ilikua ni kutafuta kick ya u super Star hapa ame bugi.....
Mwenyewe anajiona sahihi.... Hana wasiwasi
Eti ni mama wa watoto wawili huyu! Akhkhkh...... God forbid, sijui alikua ame lewa ama alikua na akili zake timamu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...













No comments:
Post a Comment