Yeye ameipa jina la 'Khaki House'
Happy couple
Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a baba Sasha huwa hakosi muda wa kuwa pamoja na familia yake
Huyu ndiye mkombozi wa wanyonge; Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia chama cha CHADEMA ambapo muda mfupi baada ya kutupia picha ya nyumba yake mpya hiyo zilishuka pongezi nae akatia msumari kwa maneno haya "...tunapofikia
kupigana mjengoni mjue tunamaanisha na tuko serious...vinginevyo
tungeweza kutulia na maisha yangeendelea poa kama hivi,lakini si dhamira
yetu kukaa kimya na tutaendelea kukomaa..."
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...



No comments:
Post a Comment