27 December, 2013

MTANZANIA AHUKUMIWA KUNYONGWA NCHINI CHINA KWA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA


Mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya  Heroin Kiwango cha Kilo 1.1 Macao, China mnamo desemba 19 2013.

Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na wana usalama, kisha kufanyiwa Xray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vikiwa na thamani ya dola za kimarekani 137,72

Inasemekana msichana huyu anajulikana kwa jina la Jackie Clief amewahi kushiriki video mbalimbali ikiwemo ile ya She Got a Gwan ya marehemu Mangwea,  pia video ya Nataka kulewa ya Diamond. 
Hembu tabiri nini kinafuata hapo!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...