21 December, 2013

STEVE NYERERE: HATOTOKEA RAIS ANAYEWAJALI WASANII KAMA JAKAYA KIKWETE

 Mchekeshaji na msanii wa filamu nchini, Steve Nyerere amesema hatokuja kutokea rais wa Tanzania anayewajali wasanii kama Jakaya Kikwete.

"Maisha ya wasanii yamekuwa bora kutokana na juhudi za Kikwete"

Wasanii tunaheshimika kutokana na juhudi za rais wetu. Amekuwa ni kama mlezi wa wasanii sio wa filamu wala muziki. Kwakweli amekuwa mstari wa mbele katika kutusaidia na kutushauri tufanye nini. 

Kwahiyo mimi ni miongoni mwa wasanii ambao naweza kusema bila Kikwete nisingefika hapa nilipo. Nina mani raisi anayekuja hawezi kuwa kama Kikwete kwa jinsi anavyotujali na kutushauri,” alisema Steve.

Nikisema nianze kusema mambo aliyoyafanya Kikwete kwa wasanii,mengi nitayasahau,ukianza na Diamond sijui nani, yaani utamaliza kuwataja waliosaidiwa. 
Naomba nimshukuruu Kikwete pamoja na familia yake.
  


Hivyo ndivyo alivyofunguka Steve akimsifia Rais wa Jamhuri ya Tanzania


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...