30 December, 2013

USIOE/ USIOLEWE KWASABABU HIZI

*Usioe/ Kuolewa kwa sababu rafiki zako wote wameoa / Kuolewa.
*Usioe / Kuolewa kwa sabab class mates zako wote wameoa/ wameolewa na wana watoto.
* Usioe / Kuolewa kwa sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi   nzuri.
*Usioe kwa sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini.
* Usioe / Kuolewa kwa sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na wajukuu.
* Usioe Kuolewa kwa sababu wazazi na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchangiwa.
* Usioe Kuolewa uonekane umeoa / Kuolewa.
* Usioe kwa sababu umempatia binti ujauzito.
* Usioe/ Kuolewa kwa sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe.
*Usioe/ Kuolewa kwa sababu unaona umri unakwenda
NDOA SIO JUMUIYA, NDOA SIO DESTINATION, NDOA SIO ZAWADI KWA WAZAZI. NDOA SIO SOCIAL STATUS, NDOA SIO WATOTO, NDOA SIO KUONDOA NUKSI.
*Oa/ Olewa kwa sababu ni wakati wa Mungu wewe kuoa . kuolewa, umempata mtu sahihi mnayependana kwa dhati, umeridhia kutoka moyoni bila kushurutishwa na kitu/mtu yeyote.. Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto.
***Usipojifunza na hapa tusilaumiane***

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...