15 January, 2014

LADY JAYDEE TAPELI?

Watu wanaendelea kuibiwa na wananilalamikia mimi, ndugu zangu wapendwa kuweni makini sana, Mimi sina account yoyote inayotoa mikopo facebook... Kuweni makini, kuweni makini. Narudia tena.
Nawashauri mwende CRDB Bank mkafungue account kama mnataka mikopo/ Bank ndio huwa zinatoa mikopo sio mimi.. Watu ni wezi sana wanatumia majina ya watu kujipatia pesa kwa ulaghai!!!!
Na nyie ndugu zangu mnaoibiwa, hivi tangu lini mikopo ikatolewa facebook???? Nilishaandika zaidi ya mara 3 kuwa sitoi mikopo mi natoa nyimbo na videos tuuu, lakini bado tu naendelea kupewa lawama kuwa nimewaibia watu, Jamaniiii eeeeeh!!
Naskia hiyo page ya Jide wa uongo imetengeneza mpaka tangazo la kwenye TV, humu mjini kuna mambo mengi sana, watu wana njaa zao watafanya kila njia wapate pesa.
Akili kichwani mwako.

Hayo ni maneno aliyoya post mwana dada mwenye a.k.a nyingi kunako industry ya Bongo Flavour. 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...