28 April, 2014

BAADA YA NDIKUMANA INASADIKIKA HUYU NDIYO MSANII ANALOLIFAIDI PENZI LA IRENE UWOYA...!!




Siku kadhaa zilizopita kuliwahi kuripotiwa na kuonesha picha Irene Uwoya akimtomasa sehemu nyeti Msanii mwenzake wa maigizo Haji Adam na kuzua mambo mengi hasa katika mitandao ya kijamii, lakini haikuishia hapo wawili hawa wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara tena nyakati za usiku na pozi zao zinaonyesha ishara ya mahaba,
 
Baba Haji akiwa na Uwoya
 
ndipo mtandao mmoja uliamua kumtafuta Haji Adam lakini hakuweza kupatikana vilevile ilitokea kwa Irene Uwoya kwani namba yake ilikuwa haipatikani, kwa bahati nzuri mawasiliano ya rafiki wa karibu na Irene alipatikana na kufunguka "Mbona hao wapenzi kitambo sema nyiye mmechelewa kufahamu ukweli tu" alimaliza rafiki huyo
 
Baba Haji akiwa na JoJo The Fighter

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...