
Ilikuwa ni purukushani wakati ambapo kila abiria akijaribu kujikwamua na kutoka nje ya basi hilo


Basi la kampuni la RATCO linalofanya safari zake Dar-Tanga limepata ajali baada ya ktumbukia mtaroni maeneo ya Kongowe, Kibaha mkoani Pwani jana jioni
Kwa mujibu wa shuhuda aliyeongea kwa njia ya simu anadai kuwa chanzo cha ajali hiyo ni baada ya gari ndogo kuchomoka tairi lake na kisha kwenda kukanyagwa na basi la RATCO na kisha basi hilo kwenda kuanguka na kulalia ubavu wa kushoto kama inavyo onekana katika pivha hapo juu!
No comments:
Post a Comment