28 April, 2014

HUKO TWITTER KIMENUKA; DIAMOND PLATNUM AMSHUSHUA SHABIKI



BmJyI-oIUAAAE_D
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, makubwa yamkuta follower mmoja wa msanii marufu hapa Tanzania Dangote aka Diamond Platnumz, baada ya Diamond kupost picha yake nzuri tu, huku aki-show off tattoo zake, basi ishu ilikuwa ni pale follower huyo alipo muambia Dangote, “sawa umependeza blo, ila sisi watz hatuchoragi hzo v2″, na Dangote Bila kuchelewesha akamshukia na kumjibu “wamakonde vipi?”, hata ukiwa wewe umeandikiwa hivyo hutakuwa na cha kuongezea hapo cause hizo ni tamaduni za watu, tuache wafanye yao.
10296632_388012188006652_2049734321_n
Kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa wakipingana kwa vitu mbali mbali wavifanyavyo wasanii wengi hapa bongo, haswa kwenye hili suala la tattoo, wazazi wengi pia wamekuwa  wakiona ni uhuni kuweka tatoo za aina mbali mbali katika mwili.
Kwakua JoJo sipo nyuma katika kufanya uchunguzi wa mambo, niliamua kupitia maandiko katika Biblia, Mambo ya Malawi 19: 28 Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu. Mimi ndimi Bwana

Sijafahamu Quran inazungumzia vipi tatoo kwasababu Diamond ni Muislamu!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...