MWANADAFADA mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka
kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi.
Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Batuli alisema kuwa muvi nyingi
Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea
nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.
No comments:
Post a Comment