23 April, 2014

H. BABA ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU COOL JAMES NA KUFAYA USAFI KATIKA KABURI HILO


H.baba kutoka wikiendi iliyopita amefanya ziara ya kutembelea familia ya James Dandu ambayo iko Mwanza ambapo pia alifika mpaka lilipo kaburi lake Ngudu, Kwimba hapo H.baba alipalilia pamoja na kutoa heshima zake kwenye kaburi la Muasisi huyu wa tuzo za Tanzania.
H baba akifanya usafi kwenye kaburi la Dandu.
Mbali na kuwa muasisi tu Cool James ambaye alifariki Agost 2002 alikua ni miongoni mwa wasanii wa kwanza kuutangaza muziki wa Bongo Fleva nje ya nchi, Hizi ni picha baadhi ambazo zinamuonyesha H.baba akiwa na familia pamoja kaburi alilozikwa James Dandu.
H. Baba akiwa na wazazi wa marehemu Cool James

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...