
Nissan wameanzisha rangi isiyoruhusu vumbi, matope, uchafu wala maji kubaki kweye body ya gari na kuiacha gari ikiwa ina ng'ara bila ya kuiosha wala kuifuta!!
Kwa mujibu wa Nissan rangi hiyo inazuia maji na mafuta pia, na ubunifu huo ulifanikiwa kwa "kutengeneza tabaka la kinga ya hewa kati ya rangi na mazingira".
Rangi hiyo inaitwa Ultra-Ever Dry na imetengenezwa na UltraTech International Inc.
Gari hili la majaribio linaonyesha upande wa kulia uliopakwa rangi hiyo na upande wa kushoto wenye rangi ya kawaida.
No comments:
Post a Comment