Katiba mpya ndio habari ya mjini kwa sasa... Hivyo macho na masikio ya Watanzania yapo bungeni kufuatilia muenendo mzima wa uundwaji wa katiba mpya.... Katika pita pita zangu nikaona post kupitia kwa Ben Wa Saa Nane. Nimeichukua kama ilivyo pamoja na comment ili na wewe msomaji wa blog ya JoJo The Fighter upate uhondo huu!!....
1 hr ·
,,,,kati
ya makosa makubwa kufanywa n kuvunja tume ya Warioba mara tua
walipomaliza kuwasilisha ripot yao Bungen,,,,,wajumbe wa ile tume
walitakiwa kuwa wajumbe ili watolee
ufanunuz wa hoja za wajumbe kitu ambacho kimekosekana had bunge
lilipositisha shughuli zake,,,,,wajumbe especially wa chama tawala
wametumia mwanya huo kudanganya umma kama kudai gharama zitakuwa kubwa
na wengne kufika mbali zaid na kusema jesh linaweza chukua nchi kitu
ambacho c kwl n hii inatokana kutokuwepo na watu wa kuwajibu,,,,,kuvunja
tume n uhun xawa na kuvunja mahakama mara baada ya kutoa hukumu which
means mshtakiwa hatakuwa na pakukataa rufaa koz hakuna wa
kumsikiliza!!!!,,,,mbona kamat ya kutunga sheria haijavunjwa kitu
ambacho kiliwasaidia wajumbe kupata ufanuz wa vpengele mbalmbal
vilivyokuwa vimependekezwa at the end wakapata sheria na kanuni nzur
japo zilikiukwa makusud kwa kumruhusu Warioba awasilishe thn Rais
azindue huku utaratibu n kuzinduliwa thn ndo rasimu iwasilishwe,,,,,kaz
nzur iliyofanywa na tume haionekan koz walioifanya hawapo bungen
kuwafafanulia n kwa nn imekuwa iv na c vile,,,,,,Mungu ibariki
Zanzibar,,,Mungu ibariki Tanganyika na Mungu ibariki xana Jamhur ya
Muungano wa Tanzania
- Lucas Mkina Cha msingi hapo ni kuvunja mkataba hakuna umuhimu wa kuwa na MUUNGANO wakati hakuna USAWA unaopatikana kati ya hizi nchi mbili TANGANYIKA na ZANZIBAR
kama ni hivyo basi tuweke serikali TATU - Said Mithun ndo xabab nikasema yalikuwa makosa makubwa xana kuivunja ile tume mana waliposema serkal tatu walikuwa na ufafanuz mzr tu kama unawasikilizaga kwnye vyombo vya habr,,,,hicho kina mic pale bungen mana hakuna wakujibu hoja,,@lukas Lucas Mkina
- Lucas Mkina Labda ww unaweza ukawa karibu na hao viongozi wa nchi akiwemo Mh, Raisi Mpe taarifa kuwa MZEE WARIOBA tunamhitaji sana kwenye mchakato wa katiba huo mwezi wa nane ambapo wajumbe watakapokutana pale mjengoni
- Khamis Juma Nadhani wengi tumeshindwa kupima upepo, hata sasa ile sheria inaelekeza hivyo kua mjumbe yeyote wa tume ile ya Mh. Warioba iwe mwenyekiti au mwengine inategemea tu mwenyekiti ataona nani aende inawaelekeza kua wanaweza kuitwa wakati woowte kutoa ufafanuzi wa jambo lolote lile kama wakiona kuna haja hio. Kitu ambacho wengi tumeshindwa kufahamu ni kua sio kwaba Bunge halijui jambo hilo kua wanweza kuwaita kisheria wakati wowte ila hawajawaita na wala hawataawaita maana kufanya hivyo wanjua kua itaharibu mpango wao, maana MAJIBU YA MASWALI YAO YOTE TUME WANAYO NA WANAYAOGOPA . hivyo haitatokea kuitwa pale mjumbe yeyote kutoa ufafanuzi au kujibu hoja zozote. wanajua wanachokifanya strategically.
- Said Mithun xaxa hapo ndipo wanapowakosea haki watanzania mana wanashindwa kujua upi n ukwl na upi sio mana unamsikia mjumbe anasema ripoti ya tume n uongo mtupu c maon ya wananch,,,,xaxa bila ufafanuz kutoka kwa tume wanaweza wakaamin kuwa ripoti n ya uongo,,,,my point iz kwamba wale wajumbe wangekuwa wajumbe direkt na c huu utaratibu wa kusema wataitwa kitu ambacho tunajua n ndoto koz had aitwe automatikally lazma walio weng ambao n ccm waridhie ufafanuz uje kutolewa na ukumbuke hao ndo wapingaj wakuu wa ile ripoti,,,@khamis juma
No comments:
Post a Comment