Baada ya agizo la mganga, Mwanaume mmoja huko Malawi amemruhusu fisi ang’ate na kuuondoa uume wake kisa anataka kuwa tajiri na kuachana na maisha ya tabu aliyoishi kwa miaka mingi.
Pamoja na hiyo sentensi fupi ya kusisimua inayoweza kukufanya uwaze mara mbilimbili baada ya kuifikiria kwa kina, Zulu anasema hasumbuliwi yani, haimpi shida kujua kwamba hana uume na vidole vyake tena ila tu anasubiri utajiri wake kama alivyoahidiwa.
No comments:
Post a Comment