Tarehe
26/04/2014 taifa la jamuhuri ya muungano wa Tanzania imeadhimisha jumla
ya miaka 50 tangia kuungana kwake mwaka 1964, basi hivi ndivyo mambo
yote yalivyokuwa katika tukio hilo la kihistoria.
![]() |
wakiwapigia makofi makomandoo wa JWTZ walioonsha ukakamavu wa hali ya juu |
![]() |
sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uwanjani hapo wakiimbna wimbo wa TAIFA |
![]() |
moja ya burudani iliyowakonga nyoyo watazamajio uwanjani hapo ni maaskari walioshuka kutoka kwenye ndege kwa kutumia parachuti kama anavyoonekana pichani hapo juu |
![]() |
![]() |
makomandoo waliokonga nyoyo za wakazi wengi waliojitokeza kiwanjani hapo |
![]() |
sweepers wakitoa heshima kwa bendera ya TAIFA |
![]() |
PICHA YA KIFARU |

No comments:
Post a Comment