25 April, 2014

BREAKING NEWS: KOCHA WA ZAMANI WA BARCELONA, TITO VILANOVA AFARIKI DUNIA


Goodbye Tito - a brave hero who created history at Barcelona  Kocha wa zamani wa Barcelona Titto Vilanova aliyestaafu baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kansa kwa muda mrefu leo hii amefariki dunia akiwa na miaka 45,
Ni majonzi makubwa kwa klabu yake ya Barcelona aliyoichezea na baadae kuja kuwa meneja wa kalabu hiyo baada ya kuondoka kwa Pep Guardiola.Alishikilia nafasi ya ukocha katika klabu hiyo huku akiwa anasumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara.
Baadae aliamua kustaafu kutokana na maradhi ya kansa yaliyokuwa yanamsumbua.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...