25 April, 2014

UPDATES: CHADEMA WAFANYA MKUTANO ARUSHA, SERIKALI 3 YASHANGILIWA

Mkutano unao ongozwa na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, unaendelea kufanyika huku wananchi waki isapoti UKAWA kutoka nje, na kuacha CCM kutengeneza katiba yao!

Kwa mujibu wa chanzo kilichopo kwenye mkutano huo kinasema "watu ni wengi na serikali 3 ina sapoti kubwa sana!"

Leo wameanzisha salamu mpya ya kunyoosha vidole vitatu juu kusapoti serikali 3 kwa kusema peoplesssss Powerrrrrrrrr!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...