20 May, 2014

DIAMOND AENDELEA KUWABURUZA KWA KURA WASANII WA AFRIKA TUZO ZA BET

Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz amekuwa akiongoza katika upigaji kura wa kuwania tuzo za Muziki wa Televisheni ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET) katika kipengele cha Best International Act: Africa.
Tuzo hizo zitatolewa jijini Los Angeles, Marekani Juni 29.
Mpaka jana jioni Diamond alikuwa anaongoza kwa asilimia 75.79.
diamond BET

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...